Yunus 10:79

سورة يونس

Makka Aya: 79/109 Ukurasa 218

وَقَالَ فِرۡعَوۡنُ ٱئۡتُونِي بِكُلِّ سَٰحِرٍ عَلِيمࣲ ٧٩

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na akasema Fir'awn, «Nileteeni kila mchawi mwenye uhodari wa uchawi.»

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu