فَلَمَّا جَآءَ ٱلسَّحَرَةُ قَالَ لَهُم مُّوسَىٰٓ أَلۡقُواْ مَآ أَنتُم مُّلۡقُونَ ٨٠
Yunus 10:80
سورة يونس
Makka
Aya: 80/109
Ukurasa 218
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo tupa! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wachawi walipomjia Fir'awn, Mūsā aliwaambia, «Tupeni chini kamba zenu na fimbo zenu mlizonazo.»
Yunus 10:80
Inapakia kisomo…
0:00