إِنَّآ أَنزَلۡنَٰهُ قُرۡءَٰنًا عَرَبِيࣰّا لَّعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ٢
Yusuf 12:2
سورة يوسف
Makka
Aya: 2/111
Ukurasa 235
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Sisi tumekuteremshia Qur’ani kwa lugha ya Waarabu, huenda nyinyi, enyi Waarabu mkayatia akilini maana yake, mkayafahamu na mkatenda kulingana na uongofu wake.
Yusuf 12:2
Inapakia kisomo…
0:00