وَشَرَوۡهُ بِثَمَنِۭ بَخۡسࣲ دَرَٰهِمَ مَعۡدُودَةࣲ وَكَانُواْ فِيهِ مِنَ ٱلزَّٰهِدِينَ ٢٠
Yusuf 12:20
سورة يوسف
Makka
Aya: 20/111
Ukurasa 237
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wakamuuza kwa thamani duni, kwa akali ya pesa. Wala hawakuwa na haja naye. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na ndugu zake wakamuuza kwa wachota maji miongoni mwawasafiri kwa thamani chache ya dirhamu, na wakawa hawana haja na yeye, wanataka kuepukana na yeye. Hivyo ni kwa kuwa hawakijui cheo chake kwa Mwenyezi Mungu.
Yusuf 12:20
Inapakia kisomo…
0:00