قَالُواْ سَنُرَٰوِدُ عَنۡهُ أَبَاهُ وَإِنَّا لَفَٰعِلُونَ ٦١
Yusuf 12:61
سورة يوسف
Makka
Aya: 61/111
Ukurasa 242
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Sisi tutamrairai baba yake; na bila ya shaka tutafanya hayo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakasema, «Tutafanya bidii yetu kumkinaisha baba yake atuachie, na hatutaacha kufanya hivyo.»
Yusuf 12:61
Inapakia kisomo…
0:00