وَلِيُمَحِّصَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَيَمۡحَقَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ١٤١
Al-Imran 3:141
سورة آل عمران
Madina
Aya: 141/200
Ukurasa 68
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walio amini na awafutilie mbali makafiri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kushindwa huku kuliotokea katika vita vya Uhud kulikuwa ni kuwafanyia mtihani, kuwasafisha Waumini, kuwatakasa na wanafiki na ni maangamivu kwa makafiri.
Al-Imran 3:141
Inapakia kisomo…
0:00