۞ يَسۡتَبۡشِرُونَ بِنِعۡمَةࣲ مِّنَ ٱللَّهِ وَفَضۡلࣲ وَأَنَّ ٱللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجۡرَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ١٧١
Al-Imran 3:171
سورة آل عمران
Madina
Aya: 171/200
Ukurasa 72
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika wao watakuwa wamejawa na furaha kwa neema za Mwenyezi Mungu na vipawa Vyake vingi na hakika Mwenyezi Mungu Hayapotezi malipo ya ya wenye kumuamini, bali Anayakuza na kuyaongeza kwa fadhila Zake.
Al-Imran 3:171
Inapakia kisomo…
0:00