فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمُۢ بِٱلۡمُفۡسِدِينَ ٦٣
Al-Imran 3:63
سورة آل عمران
Madina
Aya: 63/200
Ukurasa 58
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kama wakigeuka basi Mwenyezi Mungu anawajua waharibifu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na wakikataa kukuamini na kukufuata, basi wao ndio waharibifu. Na Mwenyezi Mungu Anawajua na Atawalipa kwa hilo.
Al-Imran 3:63
Inapakia kisomo…
0:00