فَمَن تَوَلَّىٰ بَعۡدَ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡفَٰسِقُونَ ٨٢
Al-Imran 3:82
سورة آل عمران
Madina
Aya: 82/200
Ukurasa 60
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watakao geuka baada ya haya basi hao ndio wapotovu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi mwenye kuupa mgongo ulinganizi wa Uislamu baada ya maelezo haya na ahadi hii Aliyoichukuwa Mwenyezi Mungu kutoka kwa Manabii Wake, hao ndio wenye kutoka nje ya dini ya Mwenyezi Mungu na twaa ya Mola wao.
Al-Imran 3:82
Inapakia kisomo…
0:00