فَمَا وَجَدۡنَا فِيهَا غَيۡرَ بَيۡتࣲ مِّنَ ٱلۡمُسۡلِمِينَ ٣٦
Az-Zariyat 51:36
سورة الذاريات
Makka
Aya: 36/60
Ukurasa 522
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini hatukupata humo ila nyumba moja tu yenye Waislamu! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hatukupata kwenye mji huo isipokuwa nyumba moja ya Waislamu, nayo ni nyumba ya Lūṭ, amani imshukie.
Az-Zariyat 51:36
Inapakia kisomo…
0:00