فَأَخۡرَجۡنَا مَن كَانَ فِيهَا مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ٣٥
Az-Zariyat 51:35
سورة الذاريات
Makka
Aya: 35/60
Ukurasa 522
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa hivyo tutawatoa katika hao wale walio amini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Tukamtoa kila aliyekuwa kwenye mji wa watu wa Lūṭ katika watu walioamini.
Az-Zariyat 51:35
Inapakia kisomo…
0:00