وَفِي ثَمُودَ إِذۡ قِيلَ لَهُمۡ تَمَتَّعُواْ حَتَّىٰ حِينࣲ ٤٣
Az-Zariyat 51:43
سورة الذاريات
Makka
Aya: 43/60
Ukurasa 522
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika khabari za Thamudi walipo ambiwa: Jifurahisheni kwa muda mdogo tu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kuhusu watu wa kabila la Thamūd na kuangamizwa kwao kuna dalili na mazingatio, walipoambiwa-na msemaji hapa ni Nabii wao Ṣāliḥ, amani imshukie-, «Jistarehesheni mjini kwenu siku tatu mpaka muda wenu wa kuishi ukome.
Az-Zariyat 51:43
Inapakia kisomo…
0:00