مَا تَذَرُ مِن شَيۡءٍ أَتَتۡ عَلَيۡهِ إِلَّا جَعَلَتۡهُ كَٱلرَّمِيمِ ٤٢
Az-Zariyat 51:42
سورة الذاريات
Makka
Aya: 42/60
Ukurasa 522
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Haukuacha chochote ulicho kifikia ila ulikifanya kama kilio nyambuka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
hauachi kitu chochote unachokipitia isipokuwa hukifanya ni kama kitu kilichochakaa.
Az-Zariyat 51:42
Inapakia kisomo…
0:00