وَفِي عَادٍ إِذۡ أَرۡسَلۡنَا عَلَيۡهِمُ ٱلرِّيحَ ٱلۡعَقِيمَ ٤١
Az-Zariyat 51:41
سورة الذاريات
Makka
Aya: 41/60
Ukurasa 522
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika khabari za A'di tulipo wapelekea upepo wa kukata uzazi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kuhusu mambo ya watu wa kabila la 'Ād na kuwaangamiza wao kuna dalili na mazingatio kwa mwenye kutia mambo akilini, tulipowapelekea wao upepo usiokuwa na baraka na usioleta kheri yoyote,
Az-Zariyat 51:41
Inapakia kisomo…
0:00