Al-A'la 87:6

سورة الأعلى

Makka Aya: 6/19 Ukurasa 591

سَنُقۡرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰٓ ٦

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Tutakusomea, ewe Mtume, hii Qur’ani kisomo ambacho hutakisahau.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu