لَا يَسۡمَعُونَ حَسِيسَهَاۖ وَهُمۡ فِي مَا ٱشۡتَهَتۡ أَنفُسُهُمۡ خَٰلِدُونَ ١٠٢
Al-Anbiya' 21:102
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 102/112
Ukurasa 331
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale zinayo yatamani nafsi zao. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hawatasikia sauti ya mroromo wake na kuchomeka kwa miili humo, kwani wameshakaa kwenye nyumba zao huko Peponi na wamekuwa ni wenye kukaa makao ya milele katika starehe na ladha zake zinazotamaniwa na nafsi zao.
Al-Anbiya' 21:102
Inapakia kisomo…
0:00