إِنَّ فِي هَٰذَا لَبَلَٰغࣰا لِّقَوۡمٍ عَٰبِدِينَ ١٠٦
Al-Anbiya' 21:106
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 106/112
Ukurasa 331
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika katika haya yapo mawaidha kwa watu wafanyao ibada. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwa hakika, kwenye mawaidha haya yanayosomwa pana mazingatio ya kutosha kwa watu wenye kumuabudu Mwenyezi Mungu kwa namna Aliyowaekea na Anayoiridhia kutoka kwao.
Al-Anbiya' 21:106
Inapakia kisomo…
0:00