لَا يُسۡـَٔلُ عَمَّا يَفۡعَلُ وَهُمۡ يُسۡـَٔلُونَ ٢٣
Al-Anbiya' 21:23
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 23/112
Ukurasa 323
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Yeye hahojiwi kwa ayatendayo, na wao ndio wanao hojiwa kwa wayatendayo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Miongoni mwa dalili za kupwekeka Kwake, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, kwa kuumba na kustahiki kuabudiwa ni kwamba Yeye Haulizwi kuhusu uamuzi Wake kwa viumbe Wake na kwamba viumbe Wake wote ndio wenye kuulizwa kuhusu matendo yao.
Al-Anbiya' 21:23
Inapakia kisomo…
0:00