قَالُواْ سَمِعۡنَا فَتࣰى يَذۡكُرُهُمۡ يُقَالُ لَهُۥٓ إِبۡرَٰهِيمُ ٦٠
Al-Anbiya' 21:60
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 60/112
Ukurasa 327
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Tumemsikia kijana mmoja akiwataja. Anaitwa Ibrahim. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hapo wale waliomsikia Ibraim akiapa kwamba atawachimba masanamu wao, «Tulimsikia kijana akiwataja kwa ubaya, anaitwa Ibrāhīm.»
Al-Anbiya' 21:60
Inapakia kisomo…
0:00