وَتَقَطَّعُوٓاْ أَمۡرَهُم بَيۡنَهُمۡۖ كُلٌّ إِلَيۡنَا رَٰجِعُونَ ٩٣
Al-Anbiya' 21:93
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 93/112
Ukurasa 330
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao. Wote watarudi kwetu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Lakini watu walitafautiana juu ya Mitume wao, na wengi wa wafauasi wao katika dini walipambanukana wakawa ni makundi na mapote, wakaabudu viumbe na matamanio. Na wote hao ni wenye kurejea kwetu na ni wenye kuhesabiwa juu ya yale waliyoyafanya.
Al-Anbiya' 21:93
Inapakia kisomo…
0:00