يُعَذِّبُ مَن يَشَآءُ وَيَرۡحَمُ مَن يَشَآءُۖ وَإِلَيۡهِ تُقۡلَبُونَ ٢١
Al-'Ankabut 29:21
سورة العنكبوت
Makka
Aya: 21/69
Ukurasa 398
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Humuadhibu amtakaye, na humrehemu amtakaye. Na kwake Yeye mtapelekwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Anamuadhibu Anayemtaka kati ya viumbe Vyake kwa makosa waliyoyafanya siku za uhai wao, na Anawarehemu Anaowataka miongoni mwao, kati ya wale waliotubia, wakaamini na wakafanya matendo mema. Na Kwake Yeye mtarejeshwa muhesabiwe na mulipwe kwa mliyoyafanya.
Al-'Ankabut 29:21
Inapakia kisomo…
0:00