قَالَ رَبِّ ٱنصُرۡنِي عَلَى ٱلۡقَوۡمِ ٱلۡمُفۡسِدِينَ ٣٠
Al-'Ankabut 29:30
سورة العنكبوت
Makka
Aya: 30/69
Ukurasa 399
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ninusuru na watu mafisadi hawa! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Akasema, «Mola wangu! Nipe ushindi juu ya watu waharibifu kwa kuwateremshia adhabu, kwa kuwa wameuzua uchafu huu na wameendelea nao» Na Mwenyezi Mungu Akaikubali dua yake.
Al-'Ankabut 29:30
Inapakia kisomo…
0:00