يُرِيدُ أَن يُخۡرِجَكُم مِّنۡ أَرۡضِكُمۡۖ فَمَاذَا تَأۡمُرُونَ ١١٠
Al-A'raf 7:110
سورة الأعراف
Makka
Aya: 110/206
Ukurasa 164
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Anataka kukutoeni katika nchi yenu. Basi mnatoa shauri gani? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Yuwataka kuwatoa nyinyi nyote kwenye nchi yenu.» Fir'awn akasema, «Mnanipa shauri gani, enyi watu watukufu, juu ya mambo ya Mūsā?»
Al-A'raf 7:110
Inapakia kisomo…
0:00