قَالَ ٱلۡمَلَأُ مِن قَوۡمِ فِرۡعَوۡنَ إِنَّ هَٰذَا لَسَٰحِرٌ عَلِيمࣱ ١٠٩
Al-A'raf 7:109
سورة الأعراف
Makka
Aya: 109/206
Ukurasa 164
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema waheshimiwa wa kaumu ya Firauni: Hakika huyo ni mchawi mjuzi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watukufu wa watu wa Fir'awn walisema, «Hakika Mūsā ni mchawi, anayatawala macho ya watu kwa kuwadanganya mpaka ikawaingia kwenye fikira zao kuwa fimbo ni nyoka, na kukiona kitu kinyume na vile kilivyo, na yeye ana ujuzi mwingi wa uchawi na ana uhodari nao.
Al-A'raf 7:109
Inapakia kisomo…
0:00