Al-A'raf 7:113

سورة الأعراف

Makka Aya: 113/206 Ukurasa 164

وَجَآءَ ٱلسَّحَرَةُ فِرۡعَوۡنَ قَالُوٓاْ إِنَّ لَنَا لَأَجۡرًا إِن كُنَّا نَحۡنُ ٱلۡغَٰلِبِينَ ١١٣

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Wakaja wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutashinda.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu