وَجَآءَ ٱلسَّحَرَةُ فِرۡعَوۡنَ قَالُوٓاْ إِنَّ لَنَا لَأَجۡرًا إِن كُنَّا نَحۡنُ ٱلۡغَٰلِبِينَ ١١٣
Al-A'raf 7:113
سورة الأعراف
Makka
Aya: 113/206
Ukurasa 164
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakaja wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutashinda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wachawi wakamjia Fir'awn wakasema, «Je, tutakuwa na zawadi na mali tukimshinda Mūsā?»
Al-A'raf 7:113
Inapakia kisomo…
0:00