قَالَ نَعَمۡ وَإِنَّكُمۡ لَمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ١١٤
Al-A'raf 7:114
سورة الأعراف
Makka
Aya: 114/206
Ukurasa 164
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Naam! Nanyi bila ya shaka mtakuwa katika wa karibu nami. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Fir'awn akasema, «Ndio, mtakuwa na malipo na ukaribu na mimi mkimshinda.»
Al-A'raf 7:114
Inapakia kisomo…
0:00