فَوَقَعَ ٱلۡحَقُّ وَبَطَلَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ١١٨
Al-A'raf 7:118
سورة الأعراف
Makka
Aya: 118/206
Ukurasa 164
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kweli ikathibiti na yakabat'ilika waliyo kuwa wakiyatenda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hapo haki ikajitokeza na ikafunuka kwa aliyehudhuria na kuiona kuhusu mambo ya Mūsā, amani imshukie, na kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, analingania haki, na ukabatilika urongo waliokuwa wakiufanya.
Al-A'raf 7:118
Inapakia kisomo…
0:00