فَغُلِبُواْ هُنَالِكَ وَٱنقَلَبُواْ صَٰغِرِينَ ١١٩
Al-A'raf 7:119
سورة الأعراف
Makka
Aya: 119/206
Ukurasa 164
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa hivyo walishindwa hapo, na wakageuka kuwa wadogo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakashindwa wachawi wote katika mahala walipokusanyika, na akaondoka Fir'awn na watu wake wakiwa wanyonge, waliozidiwa nguvu na kushindwa.
Al-A'raf 7:119
Inapakia kisomo…
0:00