وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلۡأٓيَٰتِ وَلَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ١٧٤
Al-A'raf 7:174
سورة الأعراف
Makka
Aya: 174/206
Ukurasa 173
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ndio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kama tulivyozipambanua hizo aya na tukaeleza ndani yake tulichowafanyia watu waliopita, ndivyo tunavyozipambanua aya na kuzieleza kwa watu wako, ewe Mtume, kwa kutazamia kwamba watarudi waache ushirikina wao na warajee kwa Mola wao.
Al-A'raf 7:174
Inapakia kisomo…
0:00