وَمِمَّنۡ خَلَقۡنَآ أُمَّةࣱ يَهۡدُونَ بِٱلۡحَقِّ وَبِهِۦ يَعۡدِلُونَ ١٨١
Al-A'raf 7:181
سورة الأعراف
Makka
Aya: 181/206
Ukurasa 174
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya uadilifu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na miongoni mwa wale tuliowaumba kuna kundi la watu bora wanaoongoka kwenye haki na wanaita watu waifuate, na kwa hiyo wanahukumu na wanafanyia watu uadilifu; na wao ni viongozi wa uongofu, kati ya wale ambao Mwenyezi Mungu Amewaneemesha kwa Imani na kufanya amali njema.
Al-A'raf 7:181
Inapakia kisomo…
0:00