Al-A'raf 7:204

سورة الأعراف

Makka Aya: 204/206 Ukurasa 176

وَإِذَا قُرِئَ ٱلۡقُرۡءَانُ فَٱسۡتَمِعُواْ لَهُۥ وَأَنصِتُواْ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ٢٠٤

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu