وَقَاسَمَهُمَآ إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ ٱلنَّٰصِحِينَ ٢١
Al-A'raf 7:21
سورة الأعراف
Makka
Aya: 21/206
Ukurasa 152
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Shetani Aliwaapia Ādam na Ḥawwā’ kwa Mwenyezi Mungu kwamba yeye ni miongoni mwa wale wanaowapa nasaha kwa kuwashauri kula kutoka mti ule, huku yeye ni mrongo katika hilo.
Al-A'raf 7:21
Inapakia kisomo…
0:00