إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلۡحَقِّ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلصَّبۡرِ ٣
Al-'Asr 103:3
سورة العصر
Makka
Aya: 3/3
Ukurasa 601
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakafanya amali njema, wakausiana wao kwa wao kushikamana na haki, kufanya matendo ya kumtii Mwenyezi Mungu na kusubiri juu yake.
Al-'Asr 103:3
Inapakia kisomo…
0:00