Sura Al-'Asr kwa Kiswahili
Al'asri · سورة العصر · Aya: 3 · Makka
Tafsiri: Ali Muhsin Al - Swahili translation
-
1
وَٱلۡعَصۡرِ
Al'asri
Naapa kwa Zama! -
2
إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَفِي خُسۡرٍ
Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, -
3
إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلۡحَقِّ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلصَّبۡرِ
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.