Al-Balad 90:2

سورة البلد

Makka Aya: 2/20 Ukurasa 594

وَأَنتَ حِلُّۢ بِهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Nawe unaukaa Mji huu.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na wewe, ewe Nabii, ni mkazi wa mji huu mtakatifu.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu