أَلَآ إِنَّهُمۡ هُمُ ٱلۡمُفۡسِدُونَ وَلَٰكِن لَّا يَشۡعُرُونَ ١٢
Al-Baqarah 2:12
سورة البقرة
Madina
Aya: 12/286
Ukurasa 3
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hili wanalolifanya na kudai kuwa ni utengefu ndio uharibifu wenyewe, lakini wao, kwa ujinga wao na ujeuri wao, hawana hisia ya hilo.
Al-Baqarah 2:12
Inapakia kisomo…
0:00