وَلَكُمۡ فِي ٱلۡقِصَاصِ حَيَوٰةࣱ يَٰٓأُوْلِي ٱلۡأَلۡبَٰبِ لَعَلَّكُمۡ تَتَّقُونَ ١٧٩
Al-Baqarah 2:179
سورة البقرة
Madina
Aya: 179/286
Ukurasa 27
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hakika katika kuwekwa sheria ya kisasi na utekelezaji wake kwa kutarajia kufikia uchaji Mwenyezi Mungu na kumuogopa kwa kumtii daima, kuna maisha ya amani kwenu, enyi wenye akili timamu..
Al-Baqarah 2:179
Inapakia kisomo…
0:00