Al-Baqarah 2:6

سورة البقرة

Madina Aya: 6/286 Ukurasa 3

إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ سَوَآءٌ عَلَيۡهِمۡ ءَأَنذَرۡتَهُمۡ أَمۡ لَمۡ تُنذِرۡهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ٦

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu