فَيَوۡمَئِذࣲ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُۥٓ أَحَدࣱ ٢٥
Al-Fajr 89:25
سورة الفجر
Makka
Aya: 25/30
Ukurasa 594
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Katika Siku Hiyo ngumu yenye vituko, hakuna atakaye kuweza kuadhibu kama adhabu ya Mwenyezi Mungu kwa anayemuasi.
Al-Fajr 89:25
Inapakia kisomo…
0:00