وَلَا يُوثِقُ وَثَاقَهُۥٓ أَحَدࣱ ٢٦
Al-Fajr 89:26
سورة الفجر
Makka
Aya: 26/30
Ukurasa 594
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hakuna atakaye kuweza kufunga kama kifungo Chake wala kufikia hadi yake.
Al-Fajr 89:26
Inapakia kisomo…
0:00