وَإِذَآ أُلۡقُواْ مِنۡهَا مَكَانࣰا ضَيِّقࣰا مُّقَرَّنِينَ دَعَوۡاْ هُنَالِكَ ثُبُورࣰا ١٣
Al-Furqan 25:13
سورة الفرقان
Makka
Aya: 13/77
Ukurasa 361
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na watakapo tupwa humo mahali dhiki, hali wamefungwa, wataomba wafe. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na pindi wakitupwa kutoka mahali pembamba sana pa moto wa Jahanamu, ikiwa mikono yao imeshikanishwa na minyonyoro kwenye shingo zao, hapo watajiapiza kuangamia ili wajiokoe nayo.
Al-Furqan 25:13
Inapakia kisomo…
0:00