Al-Ghashiyah 88:26

سورة الغاشية

Makka Aya: 26/26 Ukurasa 593

ثُمَّ إِنَّ عَلَيۡنَا حِسَابَهُم ٢٦

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Kisha ni juu yetu kuwalipa kwa waliyoyafanya.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu