Al-Haqqah 69:13

سورة الحاقة

Makka Aya: 13/52 Ukurasa 567

فَإِذَا نُفِخَ فِي ٱلصُّورِ نَفۡخَةࣱ وَٰحِدَةࣱ ١٣

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na litapo pulizwa barugumu mpulizo mmoja tu,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Pindi Malaika atakapopuliza kwenye barugumu mpulizo mmoja, nao ni mpulizo wa kwanza ambao hapo patapatikana maangamivu ya ulimwengu,.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu