وَلَا بِقَوۡلِ كَاهِنࣲۚ قَلِيلࣰا مَّا تَذَكَّرُونَ ٤٢
Al-Haqqah 69:42
سورة الحاقة
Makka
Aya: 42/52
Ukurasa 568
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wala si tungo kama zile tungo za makuhani, ni kuchache mno kule kukumbuka kwenu na kutia akilini kuwa kuna tafauti baina ya mawili hayo.
Al-Haqqah 69:42
Inapakia kisomo…
0:00