وَإِنَّهُۥ لَحَقُّ ٱلۡيَقِينِ ٥١
Al-Haqqah 69:51
سورة الحاقة
Makka
Aya: 51/52
Ukurasa 568
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kwa hakika hii Qur’ani ni haki iliyothibiti na yakini isiyo na shaka.
Al-Haqqah 69:51
Inapakia kisomo…
0:00