وَجَآءَ فِرۡعَوۡنُ وَمَن قَبۡلَهُۥ وَٱلۡمُؤۡتَفِكَٰتُ بِٱلۡخَاطِئَةِ ٩
Al-Haqqah 69:9
سورة الحاقة
Makka
Aya: 9/52
Ukurasa 567
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Firauni na walio mtangulia, na miji iliyo pinduliwa chini juu, walileta khatia. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na akaja mpita kiasi katika uasi Fir’awn na ummah waliomtangulia waliokanusha Mitume wao, na watu wakazi wa vijiji vya watu wa Lūṭ ambao majumba yao yaliwapindukia kwa sababu ya kitendo kibaya walichokifanya, cha ukafiri, ushirikina na mambo machafu.
Al-Haqqah 69:9
Inapakia kisomo…
0:00