كَذَٰلِكَ نَسۡلُكُهُۥ فِي قُلُوبِ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ١٢
Al-Hijr 15:12
سورة الحجر
Makka
Aya: 12/99
Ukurasa 262
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo za wakosefu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kama tulivyoutia ukafiri kwenye nyoyo za ummah waliotangulia kwa sababu ya kuwafanyia shere Mitume na kuwakanusha, hivyo ndivyo tunavyofanya kwenye nyoyo za washirikina miongoni mwa watu wako waliofanya uhalifu wa kumkanusha Mwenyezi Mungu na kuwakanusha Mitume Wake;
Al-Hijr 15:12
Inapakia kisomo…
0:00