فَسَجَدَ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ كُلُّهُمۡ أَجۡمَعُونَ ٣٠
Al-Hijr 15:30
سورة الحجر
Makka
Aya: 30/99
Ukurasa 263
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi Malaika wote pamoja walimsujudia, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Malaika wote walisujudu kwa umoja wao, kama Alivyowaamrisha Mola Wao.. Hakuna yoyote kati yao aliyekataa.
Al-Hijr 15:30
Inapakia kisomo…
0:00