قَالَ فَٱخۡرُجۡ مِنۡهَا فَإِنَّكَ رَجِيمࣱ ٣٤
Al-Hijr 15:34
سورة الحجر
Makka
Aya: 34/99
Ukurasa 264
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Akamwambia, «Basi toka Peponi, wewe ushafukuzwa na umeepushwa na kila jema,
Al-Hijr 15:34
Inapakia kisomo…
0:00